Loading...

STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA

Loading...
STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA
link : STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA

soma pia


STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

Uongozi wa Stand United umetishia kujitoa katika mashindano ya Azam Sports HD Federation Cup baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF kuwakata mapato yao.

Hatua hiyo ya TFF imekuja baada ya kuwa na malalamiko kutoka kwa wachezaji mbalimbali wa timu za ligi kudai pesa zao za usajili au malimbikizo ya mishahara.

Akielezea hatua hiyo moja ya kiongozi wa Stand United 'chama la wana' amesema kuwa kama hawatalipwa pesa za mashindano ya FA watachukua uamuzi wa kujitoa kwani Tff imekata pesa  na  kuwalipa wachezaji wanaowadai bila kuwashirikisha.

Hata hivyo kwa upande wa Shirikisho la soka TFF wao wamesisitiza kuwa utaratibu huo wa kuzikata fedha utaendelea kwa wale wote ambao wamekiuka mikataba yao na wachezaji au makocha.

TFF haitasita kuzikata fedha klabu zote zitakazokuwa na madeni yanayodaiwa iwe kwa kukiuka mikataba yao na wachezaji,makocha au kwa namna nyingine yoyote.

Kumekuwa na klabu zinalalamika kinyume na utaratibu tunazitahadharisha kufuata utaratibu unaofahamika kinyume cha hapo hatutasita kuchukua hatua kali kwa yeyote atakayekiuka utaratibu.

TFF inaendelea kusisitiza kwa klabu kutoa malalimiko yao kwa njia za kikanuni ili kuepuka hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa dhidi yao kama Ibara ya 50 ya katiba ya TFF inavyozungumza pamoja na Kanuni za Maadili.


Hivyo makala STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA

yaani makala yote STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/stand-united-yataka-fedha-zake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "STAND UNITED YATAKA FEDHA ZAKE ZILIZOKATWA NA TFF, YATISHIA KUJITOA"

Post a Comment

Loading...