Loading...

TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46

Loading...
TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46
link : TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46

soma pia


TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46

Ajali ya hii imetokea majira ya saa mbili usiku wa jana huko kijiji cha Makomero wilaya ya Igunga Mkoa wa Tabora ambapo Basi lenye namba za usajili T.983 DCE mali ya Kampuni ya CITY BOY likiendeshwa na EMANUEL ATUPENDA CHITEMO mkazi likiwa linatokea Ngara Mkoa wa Kagera kuelekea Mkoa wa Dar es salaam liligongana na gari aina ya Fuso lenye namba za usajili T.486 ARB lilokuwa linaendeshwa na SALUMU ABDALAH KALAMBO na kusababisha vifo vya abiria 12 huku 46 wakijeruhiwa.

Akiongea na waandishi wa Habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi WILBROD MUTAFUNGWA ameeleza kwamba Abiria 12 walipoteza Maisha huku wengine 46 wakijeruhiwa na kati yao aliwataja abiria watatu ambao hali zao ni mbaya na wawili wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Mkoa wa Mwanza na mmoja Nkinga Mission wilaya ya Igunga.

Kamanda Mtafungwa ameeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni Gari aina ya Fuso kupasuka tairi ya mbele upande wa kulia na kusababissha kukatika kwa mfumo wa usukani likiwa katika mwendo mkali baada ya kuyaingia mashimo mawili yaliyo katikati ya barabara na kusababisha kupoteza mwelekeo na kisha kuligonga basi la abiria lililokuwa likipishana nalo.
Gari kampuni ya CITY BOY mara baada ya kupata ajali.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora alipowatembelea na kuwajulia hali majeruhi katika Hospitali ya Igunga.


Hivyo makala TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46

yaani makala yote TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/taarifa-ya-ajali-ya-magari-mawili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAARIFA YA AJALI YA MAGARI MAWILI KUGONGANA NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA MAJERUHI 46"

Post a Comment

Loading...