Loading...
title : RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR
link : RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR
RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza jambo wakati akizindua kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo Bububu Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Viongozi walioshiriki katika Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu.
Baadhi ya Vijana walioshiriki katika Uzinduzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mzee Abeid Karume lililofanyika leo katika Ukumbi wa Kampasi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bububu ambalo limezinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Picha na IkuluKUSOMA ZAIDI SOMA ZAIDI
Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/rais-dk-shein-azindua-kongamano-la.html
0 Response to "RAIS DK. SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR"
Post a Comment