Loading...

TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.

Loading...
TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.
link : TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.

soma pia


TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.

 Katikati ni mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Joseph Kakunda  aliye upande wa kulia ni Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob, na upande wa kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori.
Mhe Kakunda  ,  Ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kutekeleza vyema Ilani ya CCM  kwa kutenga fedha kwa ajili ya makundi ya  Wanawake, vijana na walemavu, na kumuagiza Katibu Mkuu wa TAMISEMI kuiandikia  Barua ya pongezi Manispaa hiyo kwa kutekeleza agizo la serikali.

Aidha ameitaka Manispaa hiyo kutenga maeneo kwa ajili ya wafanyabiashara wa dogo ili kuondoa usumbufu wanao upata katika maeneo ya barabara ambapo mara nyingi huondolewa.

Amesema kama ilivyofanya  Manispaa ya Ubungo Manispaa nyingine zifanya hivyo na utendaji wao utapimwa katika utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi hayo, na ameongeza kuwa muda si mrefu serikali itapitisha sheria kuzilazimisha Manispaa zote nchini kutenga fedha za mikopo kwa ki walemavu.
 Viongozi wa CCM Wilaya ya Ubungo wakiongozwa na Katibu wao Lucas Magonja wakifurahia wimbo wa kulipongeza Manispaa ya Ubungo ulioimbwa na kikundi cha kwaya cha Wilaya hiyo.


 Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua  Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara  hao hapo chini.
 Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua  Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara

 Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua  Mburahati ambapo wajasiriamali vijana wanawake na walemavu, watanzania kupewa mikopo ya Biashara( picha na  Mwambawahabari)

Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barafu   Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara

 Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua  Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara

Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barafu  Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara






Hivyo makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.

yaani makala yote TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/tazama-matukio-katika-picha-uzinduzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA."

Post a Comment

Loading...