Loading...
title : Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar.
link : Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar.
Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali Bw.Jean Boustany alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na Bw.Jean Boustany, Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT) kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akiagana na Bw.Jean Boustany Mwakilishi wa Makampuni ya "Privinvest" na Advance Martime Transport"(AMT)kutoka Dubai yanayotengeneza Meli aina mbali mbali, mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,(kulia) Balozi Mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Ali Jabir Mwadini, [Picha na Ikulu.] 28 April 2018.
Hivyo makala Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar.
yaani makala yote Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/ujumbe-wa-makampuni-ya-privinveset-na.html
0 Response to "Ujumbe wa Makampuni ya Privinveset na Advance Maritime Transport Kuzungumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein Ikulu Zanzibar."
Post a Comment