Loading...

MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA

Loading...
MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA
link : MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA

soma pia


MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA

Hatimaye Safari ya Mwisho ya Mwanahabari wa Vyombo mbalimbali, na Mwalimu Shabani Ndyamukama wa Shule ya Msingi Buhororo ikaishia hapa, ambapo mwili wake umepumzishwa Mnamo Tarehe 6 April 2019 majira ya saa mbili usiku.
 Mtoto wa kwanza wa  marehemu Shaabani, anaitwa Hussein Shaabani Ndyamukama, ambae amepatwa na tatizo la kiafya, jambo ambalo inasemekana kwa kiasi kikubwa limepelekea kifo cha Baba yake kutokana na msongo wa mawazo alokuwa nao.
 Nyumbani kwao na Marehemu Shabani Ndyamukama kijiji Kagoma Wilayani Muleba kusini alipozikwa.
 Mapema Jamaa na marafiki wanaonekana wakifaya maandalizi ya mwisho ya Kaburi kabla ya Kumsitiri marehemu Shabani Ndyamukama.
 Pichani ni mke wa marehemu Shabani, Bi. Hadija S. Ruzamba (aliyebeba mtoto) akifarijiwa na mmoja kati ya waombolezaji
 Sehemu ya Waombolezaji wakimlilia marehemu, Mara baada ya Mwili wake kuwasili kijijini Kagoma - Muleba, nyumbani kwao alipozikwa marehemu.
 Gari lililobeba mwili wa marehemu Shabani kutoka Mwanza alipokwenda kuhudhuria semina na mafunzo kwa Wanahabari, ambapo mauti yalimkuta huko.
 Mwakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Bi. Anna Tibaijuka akiwasilisha ubani kwa mjane wa marehemu kwa niaba yake.
 Mwakilishi wa Chama cha Walimu wilaya ya Ngara ambapo marehemu Kituo chake cha kazi kilikuwa huko, akiwasilisha Ubani wao.
 Pichani Jeneza lenye mwili wa Marehemu Shabani Ndyamukama  likiwa limebebwa  kuelekea makaburini.
 Swala ya Jeneza ikiendelea kabla ya kumpuzisha marehemu Shabani Ndyamukama


Hivyo makala MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA

yaani makala yote MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mwanahabari-shabani-ndyamukama.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWANAHABARI SHABANI NDYAMUKAMA ALIVYOPUMZISHWA KWAO KAGOMA,MKOANI KAGERA"

Post a Comment

Loading...