Loading...
title : UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA
link : UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA
UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akizindua zoezi la upandaji Miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Idirisa Musilimu Hija akipanda mti baada ya kuzindua zoezi la la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja.
MKURUGENZI Mamlaka Mafunzo ya Amali, Bakari Silima akipanda mti katika zoezi la upandaji miti Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
Maafisa na Wanafunzi mbali mbali waliojitokeza katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Chuo cha Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja (Picha na Abdalla Omar Maelezo – Zanzibar).
Hivyo makala UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA
yaani makala yote UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/upandaji-miti-chuo-cha-mafunzo-ya-amali.html
0 Response to "UPANDAJI MITI CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI MKOKOTONI WAFANA"
Post a Comment