Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga kabla ya mazungumzo yao, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki,Mhe. Martin Ngoga, Bungeni mjini Dodoma Aprili 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe. Martin Ngoga (watatu kushoto) baada ya mazungumzo, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. Wengine pichani ni Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, kutoka kushoto ni Dkt. Abdullah Hasnuu Makame, Fancy Nkuhi na Mariam Ussi Yahya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-spika_23.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA YA MASHARIKI MJINI DODOMA"
Post a Comment