Loading...
title : WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA
link : WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA
WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.
Mheshimiwa Maulid Mtulia akiapa kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA
yaani makala yote WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/wabunge-mtulia-wa-kinondoni-na-mollel.html
0 Response to "WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA"
Post a Comment