Loading...

WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

Loading...
WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
link : WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

soma pia


WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania - Kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka (kushoto) akimkabidhi Rahma Msangi (kulia) zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 baada ya kuibuka kama mmoja kati ya washindi saba wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus katika mkoa wa Kilimanjaro. Tigo imetoa jumla ya simu 84 kwa wateja wake kutoka sehemu mbali mbali katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus wiki hii.
 Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania, Kanda ya Kaskazini ,Nancy Bagaka (kushoto) akimkabidhi mwalimu wa chekechekea Maulidi Hussein  (kulia) zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 baada ya kuibuka kama mmoja kati ya washindi saba wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus katika mkoa wa Kilimanjaro. Tigo imetoa jumla ya simu 84 kwa wateja wake kutoka sehemu mbali mbali katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus wiki hii.
 Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania, Kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka (kushoto) akimkabidhi dereva wa daladala, Ally Omari (kulia) zawadi ya simu janja aina ya Tecno R6 baada ya kuibuka kama mmoja kati ya washindi saba wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus katika mkoa wa Kilimanjaro. Tigo imetoa jumla ya simu 84 kwa wateja wake kutoka sehemu mbali mbali katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus wiki hii.
Washindi wa simu janja aina ya Tecno R6 kwa Mkoa wa Kilimanjaro katika promosheni ya Tigo Nyakanyaka Bonus wakionesha zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa zawadi hizo mjini Moshi na Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Tigo kanda ya Kaskazini, Nancy Bagaka (kushoto).  Tigo imetoa jumla ya simu 84 kwa wateja wake kutoka sehemu mbali mbali katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus wiki hii.


Hivyo makala WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

yaani makala yote WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/washindi-wa-nyakanyaka-bonus.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WASHINDI WA NYAKANYAKA BONUS KILIMANJARO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO"

Post a Comment

Loading...