Loading...
title : WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA
link : WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA
WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Muzdalifa Maalim Abdalla Hadhar akitoa Elimu kwa Wanafunzi na Watoto mayatima baada ya kuwasili i katika Kiwanda cha Maziwa Cha Bakhresa Fumba kwa ziara maalum ya kimasomo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake ttarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
Msimamizi wa mashine za kiwanda cha Maziwa cha Bakhresa Salum Khamis Faki akifafanua baadhi ya maswali yaliouliulizwa katika ziara ya kimasomo ya Wanafunzi na Watoto mayatima wa Skuli ya Alfarouk Aktas iliopo Shakani Magharibi B ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
Wanafunzi na Watoto mayatima pamoja na Walimu wao wa Skuli ya Al Farouk Aktas wakiangalia Utengenezaji na Uwekaji maziwa katika Chupa na Vifuko maalum katika ziara ya kimasomo Kiwanda cha Maziwa cha Bakhresa Fumba ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
Mfanyakazi wa Kitengo cha Uzalishaji Maziwa wa Kiwanda cha Bakhresa Fumba Mshindo Yussuf akigawa Maziwa kwa Wanafunzi na Watoto Mayatima waliotembelea Kiwandani hapo kwa ziara ya kimasomo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
Watoto mayatima wa Skuli ya Alfarouk Aktas na Walimu wao wakifanya mazoezi ya matayarisho ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima ambayo itafika kilele chake tarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
Wanafunzi na Watoto mayatima wa Skuli ya AL Farouk Aktas iliopo Shakani Magharibi B pamoja na Walimu Wao wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Kiwanda cha Maziwa Cha Bakhresa Fumba kwa ziara maalum ya kimasomo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8, April 2018 Fumba Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA
yaani makala yote WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/watoto-mayatima-wafanya-ziara-ya.html
0 Response to "WATOTO MAYATIMA WAFANYA ZIARA YA KIMASOMO KIWANDA CHA MAZIWA CHA BAKHRESA FUMBA MAGHARIBI B UNGUJA"
Post a Comment