Loading...

Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba

Loading...
Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba
link : Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba

soma pia


Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba

 Wanafunzi na Watoto mayatima wa Skuli ya AL Farouk Aktas iliopo Shakani Magharibi B pamoja na Walimu Wao wakiwa katika Picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika Kiwanda cha Maziwa Cha Bakhresa Fumba kwa ziara maalum ya kimasomo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Muzdalifa Maalim Abdalla Hadhar akitoa Elimu kwa Wanafunzi na Watoto mayatima baada ya kuwasili  i katika Kiwanda cha Maziwa Cha Bakhresa Fumba kwa ziara maalum ya kimasomo ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.

 Msimamizi wa mashine za kiwanda cha Maziwa cha Bakhresa Salum Khamis Faki akifafanua baadhi ya maswali yaliouliulizwa katika ziara ya kimasomo ya Wanafunzi na Watoto mayatima wa Skuli ya Alfarouk Aktas iliopo Shakani Magharibi B   ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.

 Wanafunzi na Watoto mayatima pamoja na Walimu wao wa Skuli ya Al Farouk Aktas wakiwa katika ziara ya kimasomo maeneo mbalimbali ya Kiwanda cha Maziwa cha Bakhresa Fumba   ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.
 Wanafunzi na Watoto mayatima pamoja na Walimu wao wa Skuli ya Al Farouk Aktas wakiangalia Utengenezaji na Uwekaji maziwa katika Chupa na Vifuko maalum katika  ziara ya kimasomo  Kiwanda cha Maziwa cha Bakhresa Fumba   ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.
 Mfanyakazi wa Kitengo cha Uzalishaji Maziwa wa Kiwanda cha Bakhresa Fumba Mshindo Yussuf akigawa Maziwa kwa Wanafunzi na Watoto Mayatima waliotembelea Kiwandani hapo  kwa ziara ya kimasomo   ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima itakayofika kilele chake tarehe 8April2018 Fumba Magharibi B Unguja.

Watoto mayatima wa Skuli ya Alfarouk Aktas na Walimu wao wakifanya mazoezi ya matayarisho ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima ambayo itafika kilele chake tarehe 8April 2018  Fumba Magharibi B Unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.



Hivyo makala Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba

yaani makala yote Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/watoto-yatima-wafanya-ziara-ya-kimasomo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watoto Yatima wafanya ziara ya kimasomo kiwanda cha maziwa cha Bakhresa Fumba"

Post a Comment

Loading...