Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Bw. Pang Xin Xing kabla ya mazungumzo yao, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Makampuni ya Star Times Group, Pang Xin Xing (watatu kushoto) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwa aWaziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Star Media Tanzania Limited,Wang Xiao Bo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano wa Makampuni ya Star Times Group,Zhang Ye na kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya Star Media Tanzania Limited, Juma Suluhu Sharobaro.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-majaliwa-akutana-na-rais-wa_3.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA STAR TIMES BUNGENI MJINI DODOMA"
Post a Comment