Loading...

Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.

Loading...
Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.
link : Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.

soma pia


Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika Warsha ya Sekta ya Utalii  ndani ya Jukwaa la Uchumi wa Dunia {World Economy Forum}  Mjini Amman Jordan alipokuwa akiwasilisha muelekeao wa Tanzania katika kuimarisha Utalii na fursa zinazopatikana kwa Taasisi zinazotaka kuwekeza miradi yao Tanzania.
Ujumbe wa Tanzania ukiwa miongoni mwa Viongozi walioshiriki Jukwaa la Uchumi la Dunia ambao wa kwanza kutoka kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Mastacard  Bibi Tara Nathan akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Tanzania unaoongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi la Dunia Mjini Amma Jordan.
Balozi Seif akibadilishana Mawazo na Waziri wa Mambo ya Nchi za nje wa Jordan Bwana Iman Safad mara baada ya ufunguzi wa Jukwaa la Dunia la Uchumi Mjini Amma Nchini Jordan.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif kiwa pamoja na Viongozi wenzake wa Kimataifa walioshiriki ufunguzi wa Jukwaa la Dunia la Uchumi {WEF} Nchini Jordan.

Balozi Seif Kati kati katika picha ya pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasilisha muelekeao wa Tanzania katika kuimarisha Utalii na fursa zinazopatikana kwa Taasisi zinazotaka kuwekeza miradi yao Tanzania  kwenye Mkutano wa Jukwaa la Uchumi la Dunia Mjini Amma Jordan.
Picha na – OMPR – ZNZ.


Hivyo makala Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan.

yaani makala yote Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-ahutubia-jukwaa-la-uchumi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Seif Ahutubia Jukwaa la Uchumi wa Dunia Mjini Amman Jordan."

Post a Comment

Loading...