Loading...
title : Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar.
link : Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar.
Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Ali Aboud wakati akitembelea sehemu ya mitambo ya ZBC Redio katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akizungumza ndani ya Studio ya Spice FM Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari wa ZBC Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akifahamisha jambo alipokuwa katika ziara yake katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar .
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akipata maelezp kutoka kwa Muhandisi Mkuu wa Zmux Noura Decosta wakati akitembelea katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Vuai wakati akitembelea Idara hio Rahaleo mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI./MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar.
yaani makala yote Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/waziri-wa-habari-afanya-ziara.html
0 Response to "Waziri wa Habari Afanya Ziara Kutembelea Vyombo vya Habari Zanzibar."
Post a Comment