Loading...

RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO

Loading...
RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO
link : RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO

soma pia


RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesaini mkataba na wakuu wa Wilaya zote tano za jiji la Dar es salaam katika kuhakikisha suala la afya na ukuaji wa watoto.

Akizungumza katika hafla hiyo Makonda amesema kuwa mkataba huo uliosainiwa ufanyiwe kazi ili kupunguza asilimia 14.6 za watoto wenye udumavu sugu jijini humo.

Aidha amewataka makatibu tawala katika Wilaya zote kuhusisha suala la lishe katika vikao vyote vya Manispaa hasa kwa Wilaya za Temeke, Kinondoni na Ilala ambazo zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto ukilinganisha na Ubungo na Kigamboni.

Pia amewataka wananchi kuzingatia mlo kamili na usafi katika kuandaa mlo wa watoto kabla ya siku 1000 za mabadiliko kutoka kutokwa kutungwa kwa mimba hadi mtoto afikapo miaka miwili.

Kwa upande wake mratibu lishe kutoka TAMISEMI Mwita Waibe ameeleza kuwa hayo yote ni matekelezo ya makamu wa Rais na wakuu wa Mikoa kote nchini katika kuhakikisha suala la lishe linapewa kipaumbele ili watoto waweze kukua kiafya na akili.

Na amesema kuwa " Kuanzia mimba inapotungwa hadi mtoto kufikia miaka 2 takribani siku 1000 ni siku pekee za kumtengeneza mtoto hasa katika ubongo kwa kuzingatia lishe, na baada ya hapo  mtoto hataweza kuepuka udumavu alioupata" ameeleza. 

Aidha ameeleza kuwa Mikoa ambayo inaongoza kwa uzalishaji wa chakula ndio inayoongoza kwa udumavu ikiongozwa na Rukwa yenye asilimia 50, Katavi, Ruvuma na Mbeya.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza leo na wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi  wa wilaya tano za jijini Dar es salaam katika kuhakikisha suala la afya na ukuaji wa watoto(Picha na Emmanuel Massaka wa Global ya jamii)
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda(kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Iala Sophia Mjema(kushoto)  wakisani hati ya makubaliano ya lishe.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda (kulia) akimkabidhi hati ya mkataba wa lishe Mkuu wa wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva  leo jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) akimkabidhi  hati ya mkataba wa lishe Mkuu wa Wilaya Ilala, Sophia Mjema(kushoto)  leo jijini Dar es Salaam.

 KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA



Hivyo makala RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO

yaani makala yote RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/rc-makonda-asaini-mkataba-wa-lishe-ili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA ASAINI MKATABA WA LISHE ILI KUTOKOMEZA ASILIMIA 14.6 ZA UDUMAVU SUGU KWA WATOTO"

Post a Comment

Loading...