Loading...

BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Loading...
BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
link : BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

soma pia


BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally mara baada ya kumpendekeza  na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally kwenye meza kuu mara baada ya kumpendekeza  na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally wapili kutoka kulia kwenye meza kuu kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa NEC hawaonekani pichani, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally.
  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwa meza kuu mara baada ya kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwashukuru Wajumbe wa NEC kwa kumpitisha kuwa Katibu Mkuu wa Chama Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe mara baada ya kikao cha NEC Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

yaani makala yote BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/breaking-news-dkt-bashiru-ally.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BREAKING NEWS: DKT. BASHIRU ALLY APITISHWA NA NEC KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)"

Post a Comment

Loading...