Loading...
title : Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
link : Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akizungumza na kumpongeza Dk.Bashiru Ali (kulia) mara baada ya kuteuliwa na kupata ridhaa ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(katikati),[Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Katibu Mpya wa CCM Taifa Dk.Bashiru Ali (kulia) mara baada ya kuteuliwa na kupata ridhaa ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Katibu Mpya wa CCM Taifa Dk.Bashiru Ali (kulia) alipokuwa akiwashukuru Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) mara baada ya kuteuliwa na kupata ridhaa ya kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa katika Mkutano ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Nd,Rodrik Mpogolo [Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakinyanyua mikono juu kuashiria kuunga mkono uteuzi wa Katibu Mpya wa CCM Taifa Dk.Bashiru Ali wakati wa Mkutano ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akimpongeza Dk.Bashiru Ali (kulia) mara baada ya kuteuliwa na kupata ridhaa ya Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(katikati),[Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akimuonesha kitu Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa ulioendelea leo katika Ukumbi wa Kiwete Ikulu Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 29/05/2018.
Hivyo makala Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM
yaani makala yote Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/dk-bashiru-ali-ateuliwa-katibu-mkuu.html
0 Response to "Dk Bashiru Ali ateuliwa Katibu Mkuu mpya wa CCM"
Post a Comment