Loading...
title : Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba
link : Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba
Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba
Mkurugenzi wa taasisi ya Samael Academy, Sheikh Nassor bin Said -Alruweikhy , akizungumza na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Miza Hassan Bakar, kuhusiana na maandalizi ya kutoa msaada ya chakula cha futari kwa Wananchi wa Wilaya hiyo.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
Baadhi ya Masheha wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, wakichukuwa Sadaka ya Chakula kwa ajili ya futari ya wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kilichotolewa na taasisi ya Samael Academy -Pemba.
PICHA KWA HISANI YA SAMAEL ACADEMY- PEMBA.
Mkuu wa Wilya ya Chake Chake Pemba, Alhajj Rashid Hadidi Rashid, akipokea msaada wa Sadaka ya futari kutoka kwa watendaji wa Taasisi ya Samael Academy Kisiwani Pemba, kwa ajili ya Wananchi wanoishi katika
mazingira magumu hasa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
PICHA NA SAMAEL ACADEMY PEMBA
Hivyo makala Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba
yaani makala yote Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/taasisi-ya-samael-yatoa-sadaka-ya.html
0 Response to "Taasisi ya Samael yatoa sadaka ya Futari kisiwani Pemba"
Post a Comment