Loading...

DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC

Loading...
DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC
link : DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC

soma pia


DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akimkabidhi kombe kapteni wa timu ya Dongobesh FC ya Dongobesh Iddi Podoksi mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Rema 1000 FC ya Hayodm katika mchezo wa fainali Kombe la Kurugenzi Cup 2018 uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Haydom mjini Haydom wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.
Kapteni wa timu ya Dongobesh FC ya Dongobesh Iddi Podoksi akinyanyua kombe juu mara baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Rema 1000 FC ya Haydom katika mchezo wa fainali Kombe la Kurugenzi Cup 2018 uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Haydom
Wachezaji wa Dongobesh FC wakifurahia kombe lao mara baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-1 kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Rema 1000 FC kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Haydom katika fainali ya Kurugenzi Cup 2018.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akizungumza kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu Bw. Hudson Kamoga akizungumza na kumshukuru Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi kwa kushiriki kwake katika fainali za michuano hiyo.


HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC

yaani makala yote DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/dongobesh-fc-yanyakuwa-ubingwa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DONGOBESH FC YANYAKUWA UBINGWA WA KURUGENZI CUP 2018 MBULU DHIDI YA REMA 1000 FC"

Post a Comment

Loading...