Loading...

Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara

Loading...
Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara
link : Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara

soma pia


Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi Bi Eliminata Awet Mratibu wa Kituo cha Utamaduni cha 4CCP Haydom wakiangalia nyumba ya wanyilamba wakati alipotembelea kituo hicho leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi na Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Mbulu wakitoka nje ya nyumba ya kabila ya Wanyiramba huku wakiongozwa na mzee Salum Shaban Mwakilishi wa wabantu na aliyekuwa akitoa maelezo kuhusu tamaduni za kabila hilo alipokuwa akiangalia nyumba ya kabila la Wanyiramba wakati alipotembelea katika kituo hicho leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akiakiondoka mara baada ya kutembelea nyumba ya Wanyiramba na Wanyisanzu inazopatikana katika Kituo cha utamaduni cha 4CCP Haydom alipotembelea katika kituo hicho leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akionyeshwa picha mbalimbali zinazoonyesha matukio ya Kituo cha Utamaduni cha 4CCP Haydom wakati alipotembelea katika kituo hicho leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akimsikiliza Bw. Edward Mashimba Mwenyekiti wa Kabila la Wahdzabe wakati akitoa maelezo kuhusu nyumba ya kabila hilo inayopatikana katika Kituo cha Utamaduni cha 4CCP Haydom wakati alipotembelea katika kituo hicho leo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara

yaani makala yote Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/katibu-mkuu-wizara-ya-habari-bi-suzan.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Katibu Mkuu wizara ya Habari Bi Suzan Mlawi azindua maandalizi ya Tamasha la Saba la 4CCP mjini Haydom mkoani Manyara"

Post a Comment

Loading...