Loading...
title : KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE
link : KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE
KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE
Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akizungumza na Wananchi wa kata ya Kilungule mara alipofanya ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili kujionea namna mradi wa urasimishaji makazi ulivyofanyika katika eneo hilo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akizungumza na Wakazi wa Kilungule wakati walipofanya ziara kukagua mradi wa urasimishaji Ardhi unaotekelezwa na Wizara ya Ardhi
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kilungule A,Emanuel Komba akizungumza jinsi mradi huo ulivyokuwa rafiki kwa wakazi wa eneo hilo .
Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye katika eneo Kilungule A mahali ambapo watu wa eneo hilo wamerasimishwa makazi yao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akiwa na baadhi ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu na Ardhi na Maliasili
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi Maliasili , Nape Nnauye akiwa na Waziri wa Ardhi William Lukuvi pamoja na Wajumbe wa kamati hiyo
Hivyo makala KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE
yaani makala yote KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/kamati-ya-kudumu-bunge-ya-ardhi-na.html
0 Response to "KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA KURASIMISHA MAKAZI KIMARA KILUNGURE"
Post a Comment