Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018.

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018.
link : MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018.

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018.





Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akimkabidhi mpira
mmoja wa Viongozi wa timu zinazoshiriki mashindano ya Sirro
Kibiti mwaka 2018 katika uwanja wa Samora Kibiti wakati wa
uzinduzi wa michezo hiyo uliofanyika jana. Mashindano hayo
yanashirikisha timu 16 kutoka Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akisalimiana na
wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Migomba kutoka
Wilayani Rufiji wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Sirro Kibiti
mwaka 2018 katika uwanja wa Samora Kibiti. Mashindano hayo
yanashirikisha timu 16 kutoka Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwasalimu
wakazi wa Kibiti wakati wa Sherehe za ufunguzi wa mashindano
ya Sirro Kibiti mwaka 2018 katika uwanja wa Samora Kibiti.
Mashindano yanayoshirikisha timu 16 kutoka Wilaya za
Mkuranga, Kibiti na Rufiji.
Msanii Malima Ndolela (Mzee wa Ndolela) akitumbuiza wakati wa
Sherehe za ufunguzi wa mashindano ya Sirro Kibiti mwaka 2018
katika uwanja wa Samora Kibiti. Mashindano yanayoshirikisha
timu 16 kutoka Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji.
Msanii Man Prince akitumbuiza wakati wa Sherehe za ufunguzi
wa mashindano ya Sirro Kibiti mwaka 2018 katika uwanja wa
Samora Kibiti. Mashindano yanayoshirikisha timu 16 kutoka
Wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji.


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018.

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/matukio-katika-picha-ufunguzi-wa-sirro.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA UFUNGUZI WA SIRRO CUP KIBITI 2018."

Post a Comment

Loading...