Loading...
title : DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi.
link : DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi.
DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi.
Mwambawahabari
Madiwani wa halmashauri ya Uvinza mkoani Kigoma wametakiwa kutumie muda na raslimali za serikali kuleta maendeleo, kutatua kero na malalamiko ya Wananchi badala ya kutumia raslimali kwa mambo yasiyo na tija.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mh. Mwanamvua Hoza Mrindoko alipohudhuria Kwenye kikao Cha Baraza la madiwani wa Halmashauri hiyo na kuwasisitiza kutanguliza mbele maslahi ya taifa na ya wananchi wa Uvinza.
" Hakikisheni kuwa mnawatumikia wananchi wa Uvinza na kutanguliza mbele maslahi yao pamoja na kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM"Amesema Mh.Mrindoko.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya uvinza Mh.Jackson Mateso ameshukuru Baraza la madiwani na wajumbe wake kwa kufanya uchaguzi wa makamu Mwenyekiti na kumaliza zoezi Hilo vizuri na kwa amani.
Hivyo makala DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi.
yaani makala yote DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-uvinza-awataka-madiwani-kusikiliza.html
0 Response to "DC, Uvinza awataka Madiwani kusikiliza kero za wananchi."
Post a Comment