Loading...

Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania

Loading...
Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania
link : Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania

soma pia


Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania



Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas akiwasili katika katika Taasisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa zilizoko eneo la Laki laki jijini Arusha Tanzania,wapili kulia ni Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam ,kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama Serikali .Picha na Ferdinand Shayo


Na Ferdinand Shayo,Arusha.

Waziri wa Mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas ametembelea Ofisi za Umoja wa Mataifa ya kushughulikia Masuala yaliyoachwa na Mahakama za jinai za umoja wa mataifa pamoja na kujionea makavati yaliyowekwa kumbukumbu za upelelezi,mashtaka na mwenendo wa kesi.

Waziri huyo aliambatana na balozi za Ujerumani nchini Tanzania alipokuwa katika ziara yake ya siku moja ambapo alipata kujulishwa juu ya shughuli za za taasisi hiyo ambayo imejikita katika kuwasaka watuhumiwa ambao bado hawajakamatwa ,kuwalinda waathirika na mashahidi wa mauaji ya kimbari yaliyotokea nchini Rwanda.

Ziara ya waziri huyo ni ziara ya kwanza barani Afrika tangu ateuliwe kuwa waziri march 2018 ,ziara hiyo ni muendelezo wa Nchi ya Ujerumani ambapo amesema kuwa wanafurahi katoa mchango kwa taasisi hiyo ya kimataifa pamoja na kuimarisha mahusiano kati ya Ujerumani na bara la Afrika.

Afisa Mkuu wa Mambo ya nje katika taasisi hiyo Ousman Njikam amemkaribisha Waziri huyo katika jengo la mahakama ambapo shughuli za kimahakama zinaendeshwa ,mahakama hiyo inaendelea na kazi yake ili kutoa haki kwa walalamikaji na walalamikiwa .

Msimamizi Mkuu wa Msajili wa Mahakama Sera Attika amesema kuwa mahakama hiyo ina sehemu maalumu za maabusu,na maktaba yenye makavati yaliyobeba historia ya Mauaji ya Rwanda ambayo hutumika kwa utafiti .

Waziri huyo ametembelea taasisi za kimaitaifa ikiwemo Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika na Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Hivyo makala Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania

yaani makala yote Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/matukio-waziri-wa-mambo-ya-nje.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matukio : Waziri wa Mambo ya Nje Ujerumani Atembelea Taasisi za UN Tanzania"

Post a Comment

Loading...