Loading...

MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI

Loading...
MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI
link : MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI

soma pia


MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarest Ndikilo akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Migomba kutoka Rufiji kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) iliyoikutanisha timu hiyo na Mjawa kutoka Kibiti katika uwanja wa Samora Kibiti. Migomba walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa Mjawa penati 12 kwa 11.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarest Ndikilo akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Mjawa kutoka Kibiti kabla ya kuanza kwa fainali ya kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) iliyoikutanisha timu hiyo na Migomba kutoka Rufiji katika uwanja wa Samora Kibiti. Migomba walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa Mjawa penati 12 kwa 11.
Msanii Malima Ndolela akitumbuiza wakati wa sherehe za kufunga Michezo ya kuwania kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) katika uwanja wa Samora Kibiti. Timu ya Migomba kutoka Rufiji ililifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa Mjawa penati 12 kwa 11.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Chatanda akimkabidhi seti jezi nahodha wa timu ya Mjawa Bakari Tuga kutoka Kibiti baada ya kushika nafasi ya pili katika kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) iliyoikutanisha timu hiyo na Migomba kutoka Rufiji katika uwanja wa Samora Kibiti. Migomba walifanikiwa kutwaa ubingwa baada ya kuichapa Mjawa penati 12 kwa 11.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Injinia Evarest Ndikilo akimkabidhi kombe la ushindi nahodha wa timu ya Migomba Maulid Mtupa baada ya kuibuka mabingwa wa kombe la IGP Sirro (Sirro Cup 2018 Kibiti) kwa kuichapa Mjawa kwa penati 12 kwa 11 katika uwanja wa Samora Kibiti. (Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI

yaani makala yote MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/migomba-mabingwa-sirro-cup-2018-kibiti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MIGOMBA MABINGWA SIRRO CUP 2018 KIBITI"

Post a Comment

Loading...