Loading...
title : WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA
link : WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA
WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA
Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Dkt. James Mtamakaya kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (wa nne kutoka kulia) akiangalia mojawapo ya alama iliyoharibika katika Kijiji cha Nyakalima wilayani Tarime mkoani Mara wakati wa ukaguzi wa kazi inayoendelea ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya. Kazi hii inayohusisha nchi zote mbili ilianza Machi mwaka huu na inatarajiwa kukamilika mwezi ujao.Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Nyanza nchini Kenya Bw. Moffat Kangi.
Hivyo makala WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA
yaani makala yote WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wizara-ya-ardhi-yakagua-maendeleo-ya.html
0 Response to "WIZARA YA ARDHI YAKAGUA MAENDELEO YA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA KATI YA TANZANIA NA KENYA"
Post a Comment