Loading...

Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT

Loading...
Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT
link : Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT

soma pia


Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT

Na Profesa Mbele 
Mimi kama mwandishi ninathamini maoni ya wasomaji juu ya maandishi yangu. Msomaji anapokuwa ametumia muda wake kusoma na kutafakari nilichoandika, halafu akatumia muda wake kuandika maoni, kwangu si jambo dogo. Ninashukuru. Katika blogu hii nina jadi ya kuwatambua wadau hao.
Hivi karibuni, nimeona andiko la Filipo Lubua (pichani chini) katika ukurasa wake wa facebook kuhusu kitabu changu Africans and Americans: Embracing Cultural Differences. Huyu anafundisha ki-Swahili katika Chuo Kikuu cha Pittsburgh hapa Marekani. Anasema kwamba anakitumia kitabu hiki katika kozi juu ya Afrika Mashariki, na anasema ni kitabu kinachovutia sana. Ananishukuru kwa kukiandika kitabu hiki rahisi kusomeka juu ya mitazamo yetu, yaani sisi wa-Afrika na wenzetu wa-Marekani. Anasema kuwa wanafunzi wake wamo katika program ya masomo ambayo watasoma Tanzania. Watakuwa Dar es Salaam na Iringa kwa wiki yapata tano.

Katika mawasiliano ya ziada, mwalimu Lubua amesisitiza kuwa hiki kitabu muhimu sana hasa katika kufundishia utamaduni wa Kiswahili. Kauli yake hiyo imenikumbusha maelezo ya Leonce Rushubirwa, m-Tanzania mwingine mwalimu wa ki-Swahili Marekani, kuhusu matumizi ya kitabu hiki katika kufundishia ki-Swahili. Kuongea na wataalam wa aina hiyo ni fursa ya kujithibitishia ile dhana kwamba lugha imefungamana na utamaduni.


Hivyo makala Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT

yaani makala yote Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/mtanzania-afundishaye-ki-swahili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mtanzania Afundishaye ki-Swahili Marekani Akifurahia Kitabu Posted: 15 May 2018 03:58 PM PDT"

Post a Comment

Loading...