Loading...

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA

Loading...
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA
link : NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA

soma pia


NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akizungumza na wananchi wa mtaa wa Mpamaa, Kata ya Miyuji (hawapo pichani), kuhusu mpango wa Serikali wa kulipa fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, mkoani Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini, Mhe. Anthony Mavunde.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini, Mhe. Anthony Mavunde akifafanua jambo kwa wananchi wa Kata ya Miyuji, Makutupora, Msalato na Nzuguni waliopisha ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, mkoani Dodoma.
Wananchi wa Kata ya Miyuji, Makutupora, Msalato na Nzuguni wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa (hayupo pichani), kuhusu mpango wa Serikali wa kulipa fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, akisalimiana na wazee wa mtaa wa Mpamaa, Kata ya Miyuji mara baada ya kuzungumza nao kuhusu mpango wa Serikali wa kulipa fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, mkoani Dodoma.


Hivyo makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/naibu-waziri-kwandikwa-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKUTANA NA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO, DODOMA"

Post a Comment

Loading...