Loading...

MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE

Loading...
MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE
link : MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE

soma pia


MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

MEYA  Mstaafu  wa Manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda amempongeza Rais John Magufuli kwa kuruhusu mfumo wa elimu ya bure  katika shule za Msingi na Sekondari na kuwataka wazazi kushirikiana na shule hizo katika maendeleo mbalimbali.

Akizungumza katika mahafali ya kwanza ya  Shule ya Sekondari ya Mikocheni,Mwenda alisema hatua hiyo ya Rais Magufuli imesaidia wanafunzi pamoja na wazazi wengi kunufahika na elimu hiyo.

Alisema ukilinganisha na miaka ya nyuma,hivi sasa wanafunzi wengi  wanapata elimu tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma ambapo wengi waliikosa kutokana na kushindwa kulipia ada za shule.Mwenda alisema katika kipindi kifupi cha uongozi wake tangu aingie madarakani, amejenga shule nyingi katika kata mbalimbali, jambo lililowawezesha wanafunzi wengi na jamii kunufahika.

"Kinachotakiwa kwa sasa ni wazazi kutoa ushirikiano kwa shule hizo ili ziweze kupata nguvu ya kusonga mbele kimaendeleo na kuinua kiwango cha elimu nchini alisema Mwenda.Aliwataka wazazi pia kutambua kuwa licha ya Serikali kutoa elimu  bure, bado wanapata kuchangia maendeleo ya shule hizo hatua itakayozisaidia kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo kuongeza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi.

Aidha aliwapongeza wahitimu katika mahafali hayo na kuwataka kuwa mfano kwa kufanya vizuri katika mtihani wao mwisho na hivyo kufungua njia yao ya kimaisha lakini pia kuwapa hamasa wanafunzi waliobakia shuleni hapo. Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Salama Ndyetabura alisema shule hiyo iliyoanzishwa miaka minne iliyopita pamoja na mafanikio baadhi iliyoyafikia,bado inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ya ukosefu wa maabara.

Alisema pamoja na changamoto hiyo,pia shule hiyo inakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madras pamoja na walimu wa masomo ya sayansi suala aliliiomba Serikali kulitatua.Jumla ya wanafunzi 158 walihitimu katika mahafali hayo wakiwemo wavulana 79 na wasichana 79.


Hivyo makala MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE

yaani makala yote MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/meya-mstaafu-kinondoni-ampongeza-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MEYA MSTAAFU KINONDONI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI MFUMO WA ELIMU BURE"

Post a Comment

Loading...