Loading...

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA

Loading...
RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA
link : RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA

soma pia


RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya   wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha (Picha na Ikulu).
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  mgeni wake Balozi  Mpya wa    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  mgeni wake Balozi   Mpya wa    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata  baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na  mgeni  wake Balozi   Mpya wa    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe. Alphayo Kidata  baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar leo.


Hivyo makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA

yaani makala yote RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-dk-shein-akutana-na-balozi-mpya-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA CANADA, CUBA"

Post a Comment

Loading...