Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratanilink :
Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani
Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani
Taasisi ya Mo Dewji yatoa msaada kwa watoto wenye saratani
Taasisi ya Mo Dewji imetoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya saratani katika kituo cha Tumaini la Maisha katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam.
Msaada ambao umetolewa ni unga wa ngano, khanga na sabuni za kuogea, kufua na kunawia mikono.
Akikabidhi msaada huo, Kaimu Meneja Miradi wa Taasisi ya Mo Dewji, Belinda Paul alisema taasisi yao itaendelea kuwa na utaratibu wa kutoa msaada katika kituo hicho ili kuwafariji watoto ambao wanapatiwa matibabu.
Alisema hiyo sehemu ya kwanza kutoa msaada kwani wamekuwa na utaratibu wa kusaidia jamii kutokana na uhitaji uliopo hivyo kwa kufanya hivyo wanaamini watakuwa wamegusa maisha ya Watanzania wengi.
Aidha, Paul amewataka watu wengine wenye uwezo kuweka utaratibu wa kusaidia watu wengine wenye uhitaji kama watoto waliopo katika kituo cha Tumaini la Maisha.
Kaimu Meneja Miradi wa Taasisi ya Mo Dewji, Belinda Paul akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto ambao wanapatiwa matibabu katika kituo cha Tumaini la Maisha.
Kaimu Meneja Miradi wa Taasisi ya Mo Dewji, Belinda Paul akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasimamizi wa kituo cha Tumaini la Maisha wakati walipokuwa wakikabidhi msaada katika kituo hicho.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (USDM) ambao wanalipiwa gharama za masomo na Taasisi ya Mo Dewji wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto wanaopatiwa matibabu katika kituo cha Tumaini la Maisha.
Hivyo makala Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani
yaani makala yote Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/taasisi-ya-mo-dewji-yatoa-msaada-kwa_21.html
Related Posts :
PICHA HII INANITOA MACHOZI,niifute ama niiache kama kumbukizi? Nishaurini.
Picha hii Ilipigwa 15/August/2018, ni dhahiri ni picha ya Mwisho Ruge kuonekana Public,alikua na nafuu,alikuja ofisini, juzi yake nilikua … Read More...
Wananchi Wamiminika Mloganzila kupima Usikivu
Daktari Bingwa wa Upasuaji Magonjwa ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Godlove Mfuko wa Hospitali ya Taifa Muhimbili –Mloganzila akimpima mgonj… Read More...
KARIBU RUGE UNASUBIRIWA NYUMBANI UPUMZIKE .Anaandika Abdullatif. Yunus
Siku ya Jumamosi Bado Masaa machache kabla ya kumpokea Mpambanaji, Shujaa, Muongoza njia Marehemu Ruge Mutahaba… Read More...
Morogoro kutumia Tsh. 355 Bil 2019/2020
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akifungua kikao cha Ushauri cha Mkoa (RCC) kilichofanyika Machi Mosi, 2019 katika Ukumbi… Read More...
BIMA YA AFYA NDIYO SULUHISHO LA UHAKIKA WA MATIBABU-WAZIRI UMMY MWALIMU
aziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu (kushoto) akiteta jambo na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kilosa D… Read More...
0 Response to "Taasisi ya Mo Dewji Yatoa Msaada Kwa watoto Wenye Saratani"
Post a Comment