Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA
link : RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA
RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Tanzania ambayo ni Washindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huku Urusi. Hii ilikuwa baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja waamuzi na wasimamizi baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja wachezaji na iongozi wa Kagera Suger baada ya mchezo wao wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na Simba SC ambapo Kagera sugar walishinda bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mashabiki wa soka mikono baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-apokea-makombe-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA"
Post a Comment