Loading...

RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI

Loading...
RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI
link : RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI

soma pia


RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein  akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani  mara baada ya kulifungua rasmi  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina  Idarusi  na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi). (Picha na Ikulu)
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la  Fuoni Michenzani wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao mara baada ya kulifungua  Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi   alipofika kulifungua Tawi hilo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).


Hivyo makala RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI

yaani makala yote RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-dr-shein-azindua-tawi-la-ccm-fuoni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DR. SHEIN AZINDUA TAWI LA CCM FUONI MICHENZANI"

Post a Comment

Loading...