Loading...

RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA

Loading...
RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA
link : RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA

soma pia


RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt. Ali Mohamed Shein wakiwa na 'mlima' wa makabrasha ya ripoti ya uhakiki wa mali za chama baada ya kukabidhiwa na tume aliyounda kuchunguza mali hizo ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018
 Wa kwanza kushoto ni Dkt Bashiru Ali Kakurwa ni Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza na kuhakiki mali za CCM akiwa na wajumbe wa tume hiyo mara tu baada ya jina lake kupendekezwa kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018
 Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya  CCM wakisamama na kuunga mkono kwa kauli moja pendekezo la Dkt. Bashiru Ali Kakurwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt John Pombe Magufuli kuchunguza na kuhakiki mali za CCM  Dkt. Bashiru Ali Kakurwa akipongezwa  na wajumbe wa tume hiyo mara tu baada ya jina lake kupendekezwa kuchukua nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM mbele ya wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam Mei 29, 2018

PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA

yaani makala yote RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/rais-magufuli-alipopokea-ripoti-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MAGUFULI ALIPOPOKEA RIPOTI YA UHAKIKI WA MALI ZA CCM, KATIBU MKUU MPYA WA CCM ALIPOTANGAZWA"

Post a Comment

Loading...