Loading...

TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR

Loading...
TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR
link : TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR

soma pia


TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR

 Wajumbe wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) wakifatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mhadhiri wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Charles George Magaya katika siku ya kwanza ya Mkutano wao, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Tunguu, Zanzibar. ambapo alisema kuwa Kada ya Makatibu Mahsusi ni kati ya kada kongwe kabisa katika historia ya Utumishi Serikalini, Taasisi za umma hata kwenye Sekta binafsi. Ni dhahiri Watendaji Wakuu na Viongozi wengi sehemu ya kazi wamekuwa wanauhitaji utendaji mzuri wa Katibu Mahsusi ili wafanye kazi zao kwa haraka na ufanisi zaidi.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Maganga akizungumza jambo katika siku ya kwanza ya Mkutano wao, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Tunguu, Zanzibar.
Sehemu ya Wajumbe wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) wakifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika siku ya kwanza ya Mkutano wao, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Tunguu, Zanzibar.


Hivyo makala TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR

yaani makala yote TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/tapsea-yaanza-mkutano-wake-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAPSEA YAANZA MKUTANO WAKE ZANZIBAR"

Post a Comment

Loading...