Loading...
title : WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28
link : WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28
WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28
PICHA NA HABARI Za Freddy Macha
Jumuiya ya Wasanii Watanzania Uingereza (WASATU) ilichemsha supu, ukumbi wa Heartlands , Birmingham, Uingereza Jumamosi iliyopita. Makutano haya yalikuwa pia sehemu ya mchango mahususi kusaidia wasichana wanaopewa mimba kabla ya kuwa watu wazima, vijijini, Arusha. Fedha zilikusanywa na mjasiriamali mkazi wa Birmingham, Mtanzania Sia Travel.
Sia alijaa mlangoni akihakikisha kila senti iiliyolipwa na wahudhuriaji watashiba chakula , sanaa usiku kucha na kuwafariji vigoli wetu, Tengeru. WASATU iliyoundwa mwaka 2016 chini ya udhamini wa Balozi, Uingereza, Mhe Asha Rose Migiro, inakutanisha wasanii wa ala mbalimbali chini ya viongozi- mwanamuziki na mcheza sarakasi mwenye nidhamu ya hali yajuu, Fab Moses na mtangaza mapishi ya Kitanzania, Uingereza, Bi Neema Kitilya, aliyetulizana kama shingo ya twiga....Mwaka jana, 2017, shughuli hii ilifanywa Northampton na asilimia 20 ya kipato iliwafikia Watanzania waliofikwa na maafa ya mafuriko ya maji.


Rama Sax akipuliza vitu. Zamani alipiga na Simba Wanyika akashiriki kurekodi wimbo wa “Sina Makosa”. Rama Sax pia ni mwimbaji mahiri



Hivyo makala WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28
yaani makala yote WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wasatu-ilivyovimba-birmingham-uingereza.html
0 Response to "WASATU ILIVYOVIMBA BIRMINGHAM , UINGEREZA, KUSAIDIA VIGOLI BONGO, APRIL 28"
Post a Comment