Loading...

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA

Loading...
WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA
link : WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama  akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI linalojengwa katika Halimashauri ya Wilaya ya Simanjaro ,Mkaoani  Manyara Mei 05, 2018.
 Mganga Mfawidhi Hassan Ishabailu akitoa ufafanuzi wa huduma za afya zinazotolewa na  Kituo cha Afya Mirerani kwa  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama  alipozindua Jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI Mkoani Manyara.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakati wa Uzinduzi wa Jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI Mei 05, 2018.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) Dkt. Leonard Maboko akifafanua jambo wakati wa mkutano na wananchi wa Simanjiro (hawapo pichani) mara baada ya uzinduzi wa Jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI Mkoani Manyara.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na mmoja wa wagonjwa aliyekuwa akisubiri huduma za matibabu katika Kituo cha Afya Mirerani wakati wa Uzinduzi wa Jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI Mei 05, 2018
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akiwapongea baadhi ya wazazi waliojifungua katika Kituo cha Mirerani Mkoani Manyara wakati wa Uzinduzi wa Jengo la jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi yake anayeshughulikia Waziri Mkuu na Bunge Bi.Maimuna Tarishi wakati wa uzinduzi wa jengo la kutoa huduma za Matunzo na Tiba (CTC) kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI Mkoani Manyara.
Mbunge wa Viti Maalum Manyara, Mhe.Ester Mahawa akikabidhi msaada wa mashuka kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mirerani kilichopo Wilaya ya Simanjiro kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/waziri-mhagama-azindua-jengo-la-huduma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA MATUNZO NA TIBA KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI MANYARA"

Post a Comment

Loading...