Loading...

WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI.

Loading...
WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI.
link : WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI.

soma pia


WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI.


Mshindi  wa Juzuu 30 ni Mbwana Dadi  Abdalah kutoka pemba  kaskazini Zanzibar  katika Taasisi ya  AL-HIKIMA ambaye amepata zawadi ya shilingi milion 15. 

Mwambawahabari
Na. John Luhende 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasim Majaliwa Amezitaka taasisi za dini kuunga mkono juhudi za serikali katika kuendeleza elimu nchini.

Majaliwa ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Mashindano ya 19 ya kuhifadhi kura I yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam yaliyo andaliwa na taasisi ya AL-HIKIMA FOUNDATION, ambapo ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani iliyopo nchi.

"Amesema tofauti za kidini hazikuanza leo bali zilikuwepo tangu zamani hivyo suala la kudumisha amani ni muhimu likapewa nafasi na dini zote" Amesema.

Mashindano hayo mwaka kesho mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

"Wakati niko hapa mbele nimepokea simu kutoka kwa Rais John Pombe Joseph Magufuli akaniuliza hao wote walio jana uwanja ni Waislam? nikamwambia ndiyo, akauli za tena nawewe ni  mgenirasmi miaka miwili mfululizo? Nika sema ndiyo, akasema  mwakani mimi nitakuwa mgeni rasmi na huyo shekh wa msikiti wa Maka nitamleta nitakuwa naye hapo" alisema Majaliwa.

Pamoja na hayo Waziri Mkuu Majaliwa amekabidhi zawadi kwa Washindi wa mashindano hayo.

Mshindi wa juzuu tatu kutoka AL-HIKIMA Salah, Yasir juma  amepata zawadi ya 800,000

Mshindi wa juzuu tano  kijana kutoka  madrasa  ya alhkima Mohamed. Ahmed zawadi milioni 1. 

Mshindi juzuu kumi Bilal Saleh Abdalah zawadi milioni 1.2

Mshindi Juzuu 20 kutoka Bakari Athumani kutoka Mbagala zawadi milioni 1.5 

Mshindi  wa Juzuu 30 ni Mbwana Dadi  Abdalah kutoka pemba  kaskazini Zanzibar  katika Taasisi ya  AL-HIKIMA zawadi milion 15

Baada ya kumalizika kwa mashindano hayo Waziri wa Dini kutoka Saudia Arabian, Dr Saleh bin Mohamad  bin Abdullah Azizi Alshekh.


Hivyo makala WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI.

yaani makala yote WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/wazirimkuu-majaliwa-agawam-zawadi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRIMKUU MAJALIWA AGAWAM ZAWADI KWA WASHINDI WA KUHIFADHI QURAN TUKUFU ASISITIZA AMANI."

Post a Comment

Loading...