Loading...
title : MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI
link : MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI
MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mgombea Udiwani wa kata ya Saranga Wilaya ya Ubungo katika uchaguzi mdogo kupitia chama cha Mapinduzi(CCM) ,Haroun Mdoe amechukua fomu rasmi katika ofisi ya Mtendaji wa kata hiyo leo.
Mdoe amechukua fomu hiyo leo mchana akiwa amesindikizwa na wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya kata ya Saranga ambapoiZoezi hilo la uchukuaji fom lilifanyika katika ofisi ya afisa mtendaji kata ya saranga Ndandasi Kijo ambae ni kaimu Mkurungenzi wa uchaguzi katika kata hiyo.
Katika marudio hayo ya uchaguzi vyama mbali mbali navyo vimejitokeza kuchuku fomu hizo ikiwemo chama cha demokrasia na maendeleo( chadema), chama cha wanachi cuf, Act wazalendo, n.k
mara baada ya kuchukua fomu hiyo afisa Mtendaji huyo Kijo alipiga marufuku kufanyika kwa kampeni za aina yoyote kwani mda wa kampeni bado na hivyo yoyote akibainika anafanya kampeni shelia kali zitachukuliwa dhidi ya chama hicho pamoja na mgombea wake.
Katibu wa wilaya ya Ubungo, Salum Kali akimkabidhi barua ya uteuzi kwa mgombea Udiwani wa kata ya Saranga kupitia CCM Mdoe Katika uchaguzi mdogo unaotaraji kufanyika wilaya ya Ubungo
Mgombea Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mdogo wa Kata ya Saranga, Horoun Mdoe akimkabidhi mtendaji wa kata barua ya uteuzi wake kupitia CCM.
Mgombea Udiwani Mteule wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Saranga Wilaya ya Ubungo, Haroun Mdoe akisoma kwa umakini barua yake ya uteuzi kupitia chama chake cha ccm
Baadhi ya viongozi walio ambatana na mgombea wakati wa kuchukuo fomu wakiwa katika picha ya pamoja
--
Hivyo makala MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI
yaani makala yote MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/10/mgombea-udiwani-ccm-saranga-haroun-mdoe.html
0 Response to "MGOMBEA UDIWANI CCM SARANGA HAROUN MDOE ACHUKUA FOMU YA TUME KWA AFISA MTENDAJI"
Post a Comment