Loading...

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Loading...
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
link : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza  kikao cha thelathini na moja  cha mkutano wa kumi na moja cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni  akijibu maswali mbali mbali ya wabunge wakati wa  kikao cha thelathini na moja  cha mkutano wa kumi na moja cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimskiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Sera, Bunge, Ajira, Vijana na wenye ulemavu  Mhe.Jenista Mhagama wakati wa  kikao cha thelathini na moja  cha mkutano wa kumi na moja cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza na Mwanamitindo wa kimataifa Bi.Flaviana Matata  wakati  alipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt.Khamis Kigwangala na Mbunge wa Karagwe Mhe.Innocent Bashungwa wakiwa pamoja na Mwanamitindo wa Kimataifa Bi.Flaviana Matata katika viwanja vya Bunge leo Jijini Dar es Salaam. 
Picha zote na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.



Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/05/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma_17.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...