Loading...

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani

Loading...
Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani
link : Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani

soma pia


Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani

 Inspekta Jenerali wa Polisi, IGP Simon Sirro akikagua askari wa Mkoani Pwani alipofanya ziara mkoani humo kukagua utendaji kazi wa askari. IGP amewasisitiza askari wa Mkoa wa Pwani kuendelea kufanya kazi kwa weledi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wa Mkoa huo.
 Askari wa kikosi maalum cha Mkoani Pwani cha kupambana na majambazi kwenye majengo makubwa wakifanya zoezi baada ya IGP kuwasili mkoani humo kukagua utendaji kazi wa askari.
 Askari wa kikosi maalum cha Mkoani Pwani cha kupambana na majambazi kwenye majengo makubwa wakifanya zoezi baada ya IGP kuwasili mkoani humo kukagua utendaji kazi wa askari.
Inspekta Jeneralibwa Polisi, IGP Simon Sirro akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Eng. Evarist Ndikilo alipowasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo kukutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. IGP yupo mkoani Pwani kwa ziara ya kufanya ukaguzi kuona utendaji kazi wa askari ili kuona changamoto zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi. 
Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi


Hivyo makala Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani

yaani makala yote Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/inspekta-jenerali-wa-polisi-igp-simon.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro akagua utendaji kazi wa askari mkoa wa pwani"

Post a Comment

Loading...