Loading...

ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA

Loading...
ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA
link : ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA

soma pia


ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA


MWAMBA WA HABARI

Miezi miwili tu baada ya kusaini mktaba mpya wa mwaka mmoja na nusu na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda, kocha Ivan Minnaert aria wa Ubelgiji, amefukuzwa kazi.

Mkataba wake ulikuwa inaisha Juni 2019, lakini amefukuzwa baada ya timu yake kuonekana haina mwendo mzuri huku ikizidiwa pointi saba na vinara wa Ligi Kuu Rwanda APR.
Rayon ni kati ya wapinzani wa Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi wakiwa pia na Gor Mahia inayonolewa na kocha wa zamani wa Simba, Dylan Kerr.

Pamoja na kufutwa kazi, Minnaert amemueleza rafiki yake wa karibu suala la kugoma kushika masuala ya ushirikina na baada ya hapo timu ikapoteza mchezo ni moja ya jambo lililochangia.


Hivyo makala ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA

yaani makala yote ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/aliyekuwa-kocha-wa-yanga-atimuliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA ATIMULIWA RWANDA"

Post a Comment

Loading...