Loading...

AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME

Loading...
AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME
link : AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME

soma pia


AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME

Ikiwa imesalia siku moja pekee kuelekea kuanza kwa michuano ya KAGAME itakayokuwa inachezewa jijini Dar es Salaam, uongozi Azam umetaja wachezaji itakaowakosa. 
Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa klabu hiyo, Jaffer Idd Maganga, amesema kikosi chao kitakosa huduma ya wachezaji Tafadzwa Kutinyu, Donald Ngoma na Yakubu Mohammed.
Maganga ameeleza sababu za kukosekana kwa wachezaji Kuntinyu na Mohammed ni mapumziko ambayo waliomba wapewe hivyo watarejea siku kadhaa kabla ya ligi kuanza.
Aidha, Kocha Hans van der Plujim naye hatokuwepo kwenye benchi la ufundi la Azam wakati wa michuano hiyo kutokana na likizo yake kuwa ndefu baada ya kurejea kwao Uholanzi kwa mapumziko pia.
Mashindano hayo ya KAGAME yataanza kesho Juni 29 ambapo bingwa mtetezi Azam FC ataanza kucheza kibarua chake dhidi ya Kator FC kwenye wake wake wa nyumbani, Chamaz Complex.


Hivyo makala AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME

yaani makala yote AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/azam-fc-kuwakosa-nyota-wake-michuano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAM FC KUWAKOSA NYOTA WAKE MICHUANO YA KAGAME"

Post a Comment

Loading...