Loading...

Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C

Loading...
Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C
link : Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C

soma pia


Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C

Tarehe 2, Agosti 2017) Washiriki 42 wa Mandela Washington Fellowship 2017 kutoka Tanzania waliofika mwezi Juni, 2017, walitembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C. na kukutana na Balozi Wilson M. Masilingi. 

YALI, ni programu iliyoanzishwa na Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama kuwasaidia vijana wa Afrika kutembelea Vyuo vikuu vya Marekani kujifunza, kwa ufadhili wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State). Baada ya kumaliza mafunzo katika vyuo mbalimbali Watanzania hao walitembelea Washington, D.C. kupokea vyeti na kutembelea Ubalozi wa Tanzania.

Balozi Masilingi aliwaasa kuwa wazalendo, kupendana na kuwa waadilifu katika kuendeleza uchumi wa nchi yetu kwa kuanzisha na kukuza biashara. Aliwashauri pia kushirikiana na Ubalozi na Diaspora ya Watanzania waliopo Marekani, kukuza sekta ya utalii, biashara, elimu na ujenzi wa viwanda.
Balozi Tanzania nchini Marekani, Wilson M. Masilingi akizungumza na Washiriki wa YALI, Mandela Wahington Fellows. (kulia) Afisa wa Ubalozi, Dismas Assenga.
Yali Mandela Washington Fellows 2017 wakiongea na Mhe. Balozi.
Balozi Wilson M. Masilingi akiwa na washiriki wa YALI Mandela Washington Fellows, 2017.


Hivyo makala Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C

yaani makala yote Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/washiriki-kutoka-tanzania-wa-young.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C"

Post a Comment

Loading...