Loading...
title : BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA
link : BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA
BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA
Mnamo Juni 7, 2018 Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja na kuhudhuriwa na mke wa Mhe. Balozi Hajat Ashura Ally Mboweto, Maafisa wa Ubalozi na viongozi mbalimbali wa serikali ya Nigeria.
Mhe. Balozi akipokea salamu za heshima kutoka kwa askari wa jeshi la Nigeria kabla ya kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja
Mhe. Balozi Mboweto akikagua gwaride kabla ya kukabidhi hati Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja
Mhe. Balozi akielekea kwenye ukumbi wa Ikulu baada ya kukagua gwaride.Mhe. Rais Buhari akiwa na Waziri wa nchi (Mambo ya Nje) na Katibu wa Rais akimsubiri Mhe. Balozi.
Mhe. Balozi akikabidhi Hati kwa Mhe Rais Buhari
Mhe. Balozi akiwa katika mazungumzo ya falagha na Mhe. Rais Buhari baada ya kukabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi hiyo Jijini Abuja.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA
yaani makala yote BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/balozi-muhidini-ally-mboweto-akabidhi.html
0 Response to "BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA NIGERIA JIJINI ABUJA"
Post a Comment