Loading...
title : Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu
link : Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu
Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu
Mwambawahabari
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma usiku wa kuamkia leo kwenda Nairobi kwa ajili ya matibabu.
Lissu alijeruhiwa jana akiwa kwenye gari nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulika.
Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini amesema, katika safari hiyo Lissu ameambatana na mkewe, madaktari wawili wasio na mipaka, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.
Selasini amesema kuwa Lissu anapelekwa katika Hospitali ya Aga Khan mjini Nairobi.
Ndege hiyo iliyombeba ya 5H-ETG imeondoka katika Uwanja wa Dodoma saa sita na robo usiku.

Hivyo makala Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu
yaani makala yote Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/09/jinsi-tundu-lissu-alivyopelekwa-nairobi.html
0 Response to "Jinsi Tundu Lissu alivyopelekwa Nairobi kwa Matibabu"
Post a Comment