Loading...

BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA

Loading...
BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA
link : BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA

soma pia


BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kulia), akifafanua jambo mbele ya waandhishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kusaini Mkataba wa kuiwezesha Benki ya Wananchi Tandahimba (TACOBA) kimtaji iliyofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Benki ya CRDB imeipatia Benki ya Wananchi Tandahimba kiashi ya Sh. 3.2 Bilioni kuongeza mtaji wake. wengine pichani toka kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Wananchi Tandahimba (TACOBA), Rajabu Mmunda, Meneja Mkuu wa Benki ya Wananchi Tandahimba, Mugwagi Steven.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Wananchi Tandahimba (TACOBA), Rajabu Mmunda akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akibadilishana Mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Wananchi Tandahimba (TACOBA), Rajabu Mmunda  wa kuiwezesha Benki ya Wananchi Tandahimba (TACOBA) kimtaji katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA

yaani makala yote BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/benki-ya-crdb-yaiongezea-mtaji-wa-sh-32.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA CRDB YAIONGEZEA MTAJI WA SH. 3.2 BILIONI BENKI YA WANANCHI TANDAHIMBA"

Post a Comment

Loading...