Loading...

DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

Loading...
DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO
link : DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

soma pia


DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na viongozi wa CCM na wa Jumuiya hiyo mkoani Mwanza, katika mkutano uliofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dk. Anthony Diallo na kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mwanza Cornel Magembe na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanziar Haidar Haji Abdallah. 
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania upande wa Zanzibar Haidar Haji Abdallah akizungumza wakati wa mkutano huo. 

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akizungumza wakati wa mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Cornel Magembe akizungumza kwenye mkutano huo.  
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Christina Joram akizungumza, alioopewa nafasi ya kusakimia kwenye kikao hicho. 

KUSOMA ZAIDI  BOFYA HAPA


Hivyo makala DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

yaani makala yote DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/dk-mndolwa-aunguruma-jijini-mwanza-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO"

Post a Comment

Loading...