Loading...

DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

Loading...
DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!
link : DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

soma pia


DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv watakuwezesha wewe mteja wao kufurahia mechi zote 64 za michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 LIVE zikiwa kwenye picha ang’avu HD kupitia chaneli zake mpaka 6 maalum zilizoandaliwa kwa ajili ya mchuano hii. Wateja wote wa DStv watafurahia mashindano haya kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19, 000 tu!

DStv pia imekuandalia matangazo ya moja kwa moja ya FIFA Kombe la Dunia 2018 kwa Lugha ya Kiswahili utakaoletwa kwenu na timu yetu mahiri ya wachambuzi Nguli wa soka kutoka hapa nchini akiwamo Oscar Oscar, Maulid Kitenge, Aboubakar Liongo, Ibrahim Maestro, Edoku Mwembe, bila kumsahau Ephraim Kibonde watakaokuletea matangazo haya LIVE kutoka Russia.

Kwa kuongezea, DStv imekuleta ofa maalum kwa wateja wake wapya, Sasa wataweza kujiunga na DStv kwa shilingi 79,000 tu na kupata seti ya DStv pamoja na kifurushi cha miezi miwili bure kitakachokuwezesha kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia LIVE mechi zote 64 kupitia chaneli za supersport .

Mbali na ofa hiyo na kutangazwa kwa michuano hiyo kwa lugha ya Kiswahili, DStv inataka kuhakikisha kuwa wateja wanaweza kutazama DStv popote walipo wakati wowote kwa kutumia vifaa kama simu, laptop na tablet.

Download App yetu ya “DStv Now”, unaweza kutumia hadi vifaa vitano tofauti ambavyo vyote huunganishwa na dikoda yako hivyo kuwawezesha wanafamilia kutazama vipindi tofauti wakiwa sehemu yoyote kwa kutumia vifaa vyao.

Kujiunga wasiliana nao kwa namba 0659 070707
Wanasema “Kama Sio DStv Potezea”!!


Hivyo makala DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

yaani makala yote DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/dstv-wanakwambia-hiviii-mambo-ni-motoooo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!"

Post a Comment

Loading...